Black Flapper Style Dress Flapper Dress With Headband Sequins Tassels, Size Chart for Shoes TheOlawaleBrand Cheap Sale ...
MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Chirukile, amewakumbusha wafanyabiashara umuhimu wa kufanya makadirio na malipo ya kodi kwa wakati, lengo likiwa ni kukuza uchumi na kuchangia maendeleo ya taifa.
BUNGE na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameibua mjadala mpya kuhusu wabunge kujiongezea mishahara kutoka Sh. milioni 13 hadi 18 kwa mwezi. Wakati Mbowe akiibua suala hilo ...
Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa miradi mikubwa ya kimkakati inayotarajiwa kufanyika Julai 31, 2025 katika eneo la Kwala, Wilaya ya Kibaha, mkoani ...
Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana baadhi ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akiwemo Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche. Kwa mujibu wa wakili ...
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini(LATRA), imeanzisha utaratibu wa kuwapatia uwakala wa kutoa leseni, vyama vya wamiliki na waendesha bodaboda pamoja bajaji katika maeneo mbalimbali nchini ili ...